Back to home

Wadau wa sekta ya utalii wasema vivutio vya watalii vinaharibiwa Trans Nzoia

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
2h ago
Wadau wa sekta ya utalii katika kaunti ya Trans Nzoia wamepiga kengele ya hatari wakitaja uharibifu wa mazingira na unyakuzi wa ardhi kama tishio kuu kwa mustakabali wa utalii katika eneo hilo.