Back to home

Wakazi wa Taita Taveta wahamasishwa namna ya kupiga ripoti kuhusu uharibifu wa wanyamapori kwa KWS

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 29, 2025
2h ago
Wakazi kaunti ya Taita Taveta wameanza kuelimishwa namna ya kuripoti visa vya wanyamapori kuharibu mimea kwa shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori Kws ili wapate fidia. Miongoni mwa maeneo ambayo mizozo ya wanyamapori imekuwa ikishuhudiwa zaidi ni Kamtonga,Maktau na Bura.