Back to home
Mshukiwa wa dhuluma dhidi ya wanawake Narok kusalia rumande akisubiri uamuzi wa dhamana
video
C
Citizen TV (Youtube)September 29, 2025
2h ago
Mshukiwa katika kesi ya shambulizi dhidi ya mwanamke wa miaka 22 amefikishwa mahakamani hii leo lakini ataendelea kuzuiliwa hadi kesho kusubiri kusikilizwa kwa ombi la dhamana lililowasilishwa na wakili wake