Back to home
Watu wawili wauawa Kimwani, Nandi kufuatia mzozo wa ardhi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 29, 2025
2h ago
Watu wawili wamepigwa risasi na kuuawa na maafisa wa usalama eneo la Kimwani kaunti ya Nandi kufuatia mzozo wa ardhi eneo hilo. Kwa mujibu wa maafisa wa polisi, zaidi ya vijana mia sita wanadaiwa kuvamia shamba hilo kwa lengo la kuwafurusha waliokuwa wakiishi eneo hilo wakidai s