Back to home
Naibos yaibwaga Mara Sugar 1-0 kwenye mchuano wa KPL
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
2h ago
Timu ya Nairobi United ijulikanayo kama Naibos imeanza kampeni ya ligi kuu ya KPL kwa kishindo na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mara sugar kwenye mechi iliyochezwa katika uwanja wa Awendo Green. Baada ya sare bila katika kipindi cha kwanza, Naibo ilipata bao la pekee katika kipindi