Back to home

Wanafunzi wa Chuo cha KCA wazindua programu ya kwanza ya afya ya akili

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 2, 2025
2h ago
Wanafunzi wa chuo kikuu cha kca wamezindua trelio, programu ya kwanza ya afya ya akili iliyobuniwa nao wenyewe kwa madhumuni ya afya ya kiakili kwa ajili ya wenzao.