Back to home

Zoezi la kusajili polisi kuanza ijumaa tarehe 3 Oktoba

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 2, 2025
2h ago
Idara ya Huduma kwa Polisi inatarajia kuanza zoezi la kuajiri maafisa wapya wa polisi Ijumaa tarehe 3 Oktoba, ikilenga kusajili askari wapya 10,000 kote nchini