Back to home
Watu wanne wafariki, kumi wajeruhiwa katika ajali ya barabarani Kanagoni
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
3h ago
Watu 4 wamefariki huku wengine kumi wakijeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Kanagoni, kwenye barabara ya Malindi kuelekea Garsen