Back to home
Wakenya wawili wakamatwa Uganda baada ya hafla ya Bobi Wine, mashirika ya haki yaingilia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
4h ago
Mashirika ya haki nchini sasa yanataka serikali ya Uganda kuwaachilia wakenya wawili wanaozuiliwa nchini humo. Shinikizo za mashirika haya zinafuatia tuhuma za kutekwa nyara kwa wanaharakati wa Kenya. Bob Njagi na Nicholas Oyoo walipohudhuria hafla ya kampeni ya mgombea urais wa