Back to home
Wakazi wa Kijiji Cha Kapsuser Kericho wazua fujo baada ya kukosa kazi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Wakazi wa Kijiji Cha Kapsuser eneo bunge la Belgut Kaunti ya Kericho waliandamana baada ya kukosa kupewa kibarua katika shamba la chai la browns plantations .