Back to home

Shirika la Nishati ya Nyukilia na Umeme NuPEA lapanga kujenga mradi Siaya

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Shirika la Nishati ya Nyukilia na Umeme, NuPEA, limeanza mashauriano ya kina na Bunge la Kaunti ya Siaya, likiwa na mpango wa kuanzisha mradi wa umeme wa nyuklia ifikapo mwaka 2027.