Back to home

Master Ibrahim Ndung'u apandishwa daraja katika mashindano ya ulengaji shabaha

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 4, 2025
2h ago
Mlengaji shabaha bora zaidi nchini Masta Ibrahim Ndung'u ameandikisha historia ya kuwa mkenya wa kwanza kupandishwa ngazi hadi kiwango cha 'A' cha mashindano ya IPSC.