Back to home

Upinzani wasema umesalia pamoja licha ya tofauti zao

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 4, 2025
2h ago
Viongozi wa Upinzani wanasema watahakikisha wamesalia pamoja licha ya tofauti zao, hii ikiwa njia moja ya kung'oa mamlakani serikali ya Kenya Kwanza. Wakizungumza huko Makueni katika mazishi ya Mzee Philip Muteti Ndolo, viongozi hao wa upinzani wakiongozwa na kinara wa Wiper Kalo