Back to home

Walimu wapinga bima ya SHA, wadai huduma binafsi ya afya

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 5, 2025
3h ago
Walimu kote nchini wanatoa wito kwa serikali kuwapatia bima binafsi ya afya wakipinga huduma kupitia bima ya SHA. Walimu wa sekondari msingi, JSS, wakiendelea kushikilia kujitegemea na kutambuliwa kando na walimu wa shule za msingi. Kwenye siku ya kuwasherehekea walimu duniani, w