Back to home

Watawa wa Katoliki wataka sera ibuniwe kulinda watoto dhidi ya ulanguzi na dhulma za kingono

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 6, 2025
3h ago
Muungano wa watawa wa kanisa katoliki nchini unaitaka serikali pamoja na mashirika ya kijamii kuweka mikakati maalum ya kulinda watoto kutokana na ongezeko la visa vya ulanguzi wa kingono miongoni mwa watoto hasa katika maeneo ya ukanda wa pwani. Wakizungumza mjini Kilifi baada y