Back to home

Wenyeji wa mtaa wa Milimani wapinga manispaa kujumuishwa katika manispaa ya Maralal

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 6, 2025
2h ago
Wakazi wa Milimani viungani mwa mji wa Maralal Kaunti ya Samburu,wameandamana kupinga kujumuishwa kwao chini ya manispaa ya mji wa Maralal,wakisema hawakuhusishwa kabla ya hatua hiyo kutekelezwa. Sasa wanashinikiza uamuzi huo kubatilishwa.