Back to home
Bandari FC yamtangaza Mohamed Borji kuwa kocha mkuu mpya
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
3h ago
Klabu ya ligi kuu Bandari Fc imemteua raia wa Morocco Mohamed Borji kuwa kocha wake mkuu mpya. Borji anachukua mahali pa Ken Odhiambo ambaye alifutwa kazi wiki iliyopita. Mshambulizi huyo wa zamani wa Wydad Casablanca ya Morocco, ametia saini mkataba wa mwaka mmoja na Bandari