Back to home

Vijana 70 kutoka wadi 15 Laikipia kupewa elfu hamsini

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 7, 2025
2h ago
Katibu katika Wizara ya Ulinzi Patrick Mariru, ameongoza uzinduzi wa mpango wa serikali wa Nyota katika Kaunti ya Laikipia, mradi unaolenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo na mtaji wa kuanzisha biashara.