Back to home

Naibu Rais ahamasisha mataifa ya afrika kukumbatia teknolojia kujiendeleza kibiashara

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 7, 2025
2h ago
Naibu Rais Kithure Kindiki ameyarai mataifa ya Afrika kukumbatia Teknolojia ili kujikuza kibiashara na kuhesabika miongoni mwa mataifa yaliyokuwa na kuimarika duniani