Back to home

Wahadhiri wacheza katika uwanja wa mahafali JKUAT

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 8, 2025
2h ago
Wafanyakazi na wahadhiri wa chuo kikuu cha Jomo Kenyatta walitumia siku yao kucheza na kujifurahisha katika uwanja wa mahafali huku mgomo wa wahadhiri ukiingia mwezi wa pili.