Back to home
Serikali ya kaunti Nakuru yaanzisha mpango wa lishe shuleni ili kukabiliana na utapiamlo
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
1h ago
Licha ya kaunti ya Nakuru kuwa miongoni mwa kaunti zinazozalisha chakula kingi nchini , kaunti hiyo bado inashuhudia visa vya juu vya utapiomlo hasa katika kaunti ndogo za Nakuru magharibi, Nakuru Mashariki na Rongai. Watoto kati ya 90 na 130 hulazwa katika hospitali ya rufaa ya