Back to home
Wakazi wa Birikani mjini Voi, Taita Taveta wataka hatimiliki
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
1h ago
Wakazi wa Birikani mjini Voi kaunti ya Taita Taveta ambao wanaishi katika shamba la kijamii la Kishamba B wameandamana wakitaka kupimiwa ardhi zao na kupewa hatimiliki.