Back to home
Vijana zaidi ya 700 kutoka wadi 10 za Lamu kupokea fedha za kuanzisha biashara kwenye mradi wa NYOTA
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
2h ago
Vijana zaidi ya 700 kutoka wadi 10 za Lamu wanatarajiwa kupokea fedha za kuanzisha biashara kwenye mradi wa NYOTA unaotekelezwa na Serikali Kuu.