Back to home

Wahudumu wanaofadhiliwa na Global Fund wataka ajira

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 8, 2025
2h ago
Wahudumu wa afya walioko chini ya ufadhili wa Global Fund wameitaka serikali iwajumuishe mara moja katika ajira ya kudumu baada ya kukosa mishahara kwa zaidi ya miezi 15.