Back to home

Chanjo ya mifugo ya ugonjwa wa mdomo na miguu yatolewa Narok

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 8, 2025
2h ago
Zoezi rasmi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa miguu na midomo kwa Wanyama limeng’oa nanga rasmi huku takriban ng’ombe milioni moja unusu wakitarajiwa kuchanjwa katika Kaunti ya Narok