Back to home

Ndovu waharibu mimea mashambani kaunti ya Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
2h ago
Wakazi wa maeneo ya Juhudi, Salama Widho na Sinambio, wadi ya Mkunumbi, kaunti ya Lamu, wamelalamikia kuvamiwa na ndovu wanaoharibu mimea yao ikiwemo minazi, mihindi, mikanju na miembe.