Back to home
Wakazi 418 kati ya 13,700 waliolengwa wajisajili Nyeri
video
C
Citizen TV (Youtube)October 10, 2025
4h ago
Wapiga Kura wapya 418 kati ya walengwa zaidi ya 13,700 ndio waliosajiliwa katika kaunti ya Nyeri kufikia jumatano, Kwenye zoezi ambalo limeshuhudia idadi ndogo sana ya vijana, wanaojitokeza kujisajili kama wapiga kura.