Back to home
Wakazi wasafisha maeno chafu na kupanda miche Migori
video
C
Citizen TV (Youtube)October 10, 2025
5h ago
Kaunti ya Migori imeadhimisha Siku ya Mazingira kwa kampeni kubwa ya kusafisha na kupanda miti katika hafla iliyowaleta pamoja maafisa wa kaunti, wafanyikazi wa Benki ya Equity, na wakaazi .