Back to home

Chama cha wasafirishaji mizigo chatia saini mkataba wa ksh.12b

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 10, 2025
4h ago
Chama cha Wafanyibiashara wa usafirishaji na Maghala nchini ( KIFWA) Kimetia saini mkataba wa makubaliano wa shilingi Bilioni 12 na kampuni moja ya kimataifa kuzindua mfumo mpya ya kielektroniki .