Back to home

Wakazi wahamasishwa kuhusu afya ya akili kaunti ya Kisii

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 10, 2025
4h ago
Wadau kutoka sekta ya afya kwa ushirikiano na mashirika ya jamii wameandaa vikao mbalimbali kule Kisii kama njia mojawapo ya mipango ya kuhamasisha umma kuhusu afya ya akili.