Back to home
Kalonzo aahidi mabadiliko iwapo atakuwa rais baada ya uchaguzi wa 2027
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 10, 2025
4h ago
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameahidi kuwa iwapo atakuwa rais baada ya uchaguzi wa mwaka 2027, utawala wake utakuwa wenye heshima kwa Wakenya, utakuwa ndio mwisho wa ukatili wa polisi na utekaji nyara, na kuwa huduma za afya zitakuwa ni haki kwa kila mmoja.
Subscribe to NTV