Back to home

Walinzi wa kibinafsi walalamikia mafao yao

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 11, 2025
3h ago
Muungano wa walinzi wa Kibinafsi nchini, KNPSWU, umetoa wito kwa serikali kuchukua hatua za haraka kuwaokoa walinzi dhidi ya waajiri wasiozingatia viwango vilivyowekwa vya utoaji huduma katika sekta hiyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyd