Back to home
Chama cha walimu KNUT chapinga hoja ya walimu wa JSS
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
2h ago
Muungano wa walimu KNUT umepinga wito wa walimu wa sekondari msingi kujisimamia wenyewe wakisema wanapotoshwa na viongozi wa muungano wao na wanasiasa.