Back to home
Visa vya dhuluma za kingono kati ya jamaa zaripotiwa Malindi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
2h ago
Visa vya dhuluma za kingono miongoni mwa jamaa vimeripotiwa kuongezeka katika kaunti ya Malindi, ambako wasiwasi kuhusu haki kwa waathiriwa imegubikwa na giza la tamaduni. Kesi hizi sasa zikiibua changamoto ya mikakati zaidi ya kuwashughulikia waathiriwa wa vitendo hivi, licha ya