Back to home
Gavana wa Kwale Fatuma Achani atoa basari za KSh.60m
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
3h ago
Gavana wa Kwale Fatuma Achani ameongoza ugavi wa basari za shilingi milioni 60 kwa wanafunzi 10,000 kutoka kwa familila sizisojiweza wa shule za upili kutoka kaunti hiyo.