Back to home

Wahadhiri wasema hawatarudi darasani hadi walipwe ksh.7.9b

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 14, 2025
3h ago
Wizara ya elimu sasa itaelekea mahakamani kutafuta mwelekeo kuhusu mgomo wa wahadhiri ambao umeingia mwezi wa pili. akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mfumo wa kidijitali wa hazina ya ufadhili wa elimu ya juu, katibu wa elimu ya juu Beatrice Inyangala amesema wizara hiyo ita