Back to home
Mshukiwa wa mauaji ya afisa wa GSU nje ya ikulu azuiliwa kwa siku 14 kwa uchunguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
4h ago
Mshukiwa anayedaiwa kumdunga mshale na kumuua afisa wa GSU nje ya ikulu ya Nairobi amefikishwa mahakamani. Mshukiwa huyo kithuka kimunyi musyimi atazuiliwa kwa siku 14 uchunguzi ukiendelea