Back to home

Kitui yaadhimisha mashujaa kwa kauli mbiu ya kawi endelevu licha ya vijiji kubaki gizani

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 20, 2025
3h ago
Kaunti ya Kitui imeandaa sherehe za mashujaa mwaka huu kwa maudhui ya kubadilisha maisha ya wakenya kupitia kawi endelevu. Hata hivyo, licha ya kaunti ya Kitui kufikia asilimia 34 ya maeneo yenye umeme, bado kuna baadhi ya vijiji ambavyo vimesalia gizani kwa kukosa umeme