Back to home
Kiangazi chasababisha ugomvi wa wakulima na wafugaji Lamu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
1d ago
Kutokana na kiangazi kinachoshuhudiwa katika kaunti ya Lamu, mgogoro kati ya wakulima na wafugaji umeibuka. Onyo kali limetolewa kwa wale wanaovunja sheria na kuleta uhasama kati ya pande hizi mbili katika maeneo ya Witu, Lamu.