Back to home

Vijana kupewa fedha za serikali kuanzisha biashara kaunti ya Samburu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 24, 2025
3w ago
Mamia ya vijana wamejitokeza katika uga wa chuo anuai mjini Maralal kwenye kaunti ya Samburu,kushiriki zoezi la usaili wa utoaji mikopo ya mtaji kwa vijana wajasiriamali.