Back to home

Klabu ya Rotary ya Magharibi ya Kenya yaelimisha jamii katika kuhusu ugonjwa wa polio Migori

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 17, 2025
2h ago
Katika juhudi za kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa polio na kuongeza uhamasishaji kuhusu umuhimu wa chanjo, Klabu ya Rotary ya Magharibi ya Kenya ilitekeleza kampeni ya kuelimisha jamii katika Kaunti ya Migori. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and ever