Back to home
Kundi la kijamii la Kaiti Greening Champions lapanda miche Makueni
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
3h ago
Huku mvua ya vuli ikiendelea kunyesha, kundi moja la kijamii la kuhifadhi mazingira la Kaiti Greening Champions limezindua zoezi la kupanda miti elfu 250 kaunti ya Makueni.





