Back to home
Julius Bitok asisitiza kuwa elimu ya msingi na sekondari ni bure
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 17, 2025
3h ago
Katibu katika Wizara ya Elimu, Julius Bitok, amesisitiza kuwa elimu ya msingi na sekondari ingali bila malipo nchini, akikanusha uvumi kuwa serikali inapanga kusitisha ufadhili wa masomo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Ke





