Back to home

Viongozi wa Kenya Kwanza watetea sheria ya udhibiti wa mitandao wakisema inalenga kudumisha nidhamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 26, 2025
3h ago
Viongozi wa Kenya Kenya Kwanza wanaendelea kutetea Sheria kuhusu udhibiti wa mitandao iliyoidhinishwa na rais William Ruto wakisema kuwa wale wanaopinga sheria hiyo wanawapotosha wakenya. Sheria hiyo imekumbwa na upinzani kwa madai kwamba inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wa seri