Back to home
Mtoto wa miaka 4 alisombwa na maji Chemosit, Kericho
video
C
Citizen TV (Youtube)October 27, 2025
2w ago
Wakazi wa eneo la Chemosit, kaunti ndogo ya Bureti kaunti ya Kericho wanaendelea kuutafuta mwili wa mtoto wa miaka minne aliyesombwa na maji ya mto Chemosit siku tano zilizopita





