Back to home
Serikali yasambaza umeme maeneo ya mashinani Pokot Magharibi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 27, 2025
3w ago
Serikali imeanzisha mpango wa kusambaza nguvu za umeme katika maeneo ya mashinani kaunti ya Pokot Magharibi ili kusisimua uchumi wa eneo hilo lililosalia nyuma kimaendeleo kwa kipindi kirefu.





