Back to home
Ujenzi wa hospitali ya kisasa Eldoret wazinduliwa na Duale
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
3h ago
Waziri wa afya Aden Duale amezindua ujenzi wa hospitali mpya ya kitaifa ya rufaa itakayokuwa na uwezo wa kuwalaza wagonjwa elfu nne kwa mara moja.





