Back to home
Rais aagiza usambazaji wa dawa KEMSA katika ziara ya Marsabit
video
C
Citizen TV (Youtube)November 16, 2025
3h ago
Rais William Ruto ameiagiza halmashauri ya kusambaza dawa nchini KEMSA kuhakikisha kuwa zahanati zote nchini zinapata dawa bila kukosa. Rais akiitaka KEMSA kuhakikisha dawa hizo zinapelekwa moja kwa moja kwa zahanati ili kuepuka mfumo wa sasa wa kupitia serikali za kaunti. Haya y





