Back to home
Rais Samia atangaza baraza jipya, aanzisha wizara ya vijana
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
3h ago
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza baraza lake jipya la mawaziri siku chache baada ya uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata. Rais samia amezindua wizara maalum ya vijana ili kuangazia changamoto zinazowakumba. Huku akifanya mabadiliko katika wizara ya ajira, suluhu





