Back to home

Wafanyikazi wa Posta, Embu, waandamana kudai mishahara yao ya miezi mitano

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 27, 2025
5h ago
Shughuli za kazi katika kituo cha Posta cha Embu zimesimama baada ya wafanyakazi kubwaga zana za kazi ili kudai mishahara yao ya miezi mitano. Wafanyakazi hao wameapa kuendelea na mgomo hadi serikali isikie kilio chao na kuwalipa malimbikizi ya mishahara yao. Subscribe and watc